Friday, December 4, 2015

WAWILI WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO LEO ALFAJIRI MKOANI IRINGA.



Watu wawili wamefariki dunia papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria lililokuwa limebeba Magazeti ya; Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda Mkoani Mbeya, kupata ajali katika eneo la Kitonga, Wilaya ya Kilolo, Mkoani Iringa.
Ajali hiyo imetokea leo alfajiri tarehe 04/12/2015, baada ya dereva wa Gari hilo kujinusuru kugongana uso kwa uso na Gari jingine, hivyo kulazimika kuingia nyuma ya Lori na kupelekea kifo chao.

No comments:

WATEMBELEAJI