Friday, October 14, 2016

MIAKA 4 ILIYOPITA MIMI NA WADOGO ZANGU WAWILI NA RAFIKI ZANGU, TULIPATA BAHATI YA KUTEMBELEA KIJIJI CHA MWITONGO, BUTIAMA KWA MWALIMU NYERERE NA KUPOKELEWA KWA UKARIMU MKUBWA MNO, SITA SAHAMU KAMWE NA NATAMANI SANA KWENDA TENA....KWELI MWALIMU ALIKUA MKARIMU SANA, HADI WATOTO WAKE HIVYO HIVYO...TULIUKUTA UKARIMU HUO!












No comments:

WATEMBELEAJI