Thursday, June 7, 2018

HAPO JANA TAREHE 06/06/2018...MAZISHI YA WAPENDWA WETU MAPACHA WALIOUNGANA MARIA NA CONSOLATA, WALIPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAO YA MILELE, KATIKA MAKABURI YAAPADRI NA MASISTA WA JIMBO KATOLIKI LA IRINGA, HUKO TOSAMAGANGA. WAPUMZIKE KWA AMANI MARIA NA CONSOLATA....AMINA!








No comments:

WATEMBELEAJI