HUYU MAMA NDIYE MAMA YAO MLEZI WA MARIA NA CONSOLATA, AMBAO WAMEZIKWA JANA HUKO TOSAMAGANGA - IRINGA. AMEWALEA KUANZIA WAKIWA WADOGO KABISAA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA MASISTA WA SHIRIKA LA CONSOLATA MKOANI IRINGA....HUYU MAMA ANASTAHILI PONGEZI NYINGI SANAAA, NA MWENYEZI MUNGU AMJALIE AFYA NJEMA. HONGERA SANAA MAMA KWA MOYO WAKO WA UPENDO NA WA HURUMA!
No comments:
Post a Comment