Monday, March 30, 2009

BARABARA ZETU.HAPA NDO INAPO ISHIA RAMI MKOANI SINGIDA.

Mwisho wa rami na unapo ingia kwenye vumbi, kijijini Isuna-Singida. Hii ni hali halisi ya barabara zetu, hujengwa nusunusu, kimebaki kipande kidogo sana kufikia Singida mjini ili paunganike iwe rami tupu, sasa kazi ipo kwenye kumalizia, wakianza kazi hii rami nyingine itakuwa tayari imesha chakaa. Bongo yetu ni tambarare tuuu!!!

No comments:

WATEMBELEAJI