Tuesday, March 31, 2009

TANZANIA YETU NA SHIDA ZAKE HASA ZA MAJI.

Tatizo kubwa sana la nchi yetu ni shida ya maji hasa vijijini, mpaka mvua zinyeshe kidogo inakuwa afadhali, pia ni tatizo tu maana maji si salama sana, watu huchota maji kwenye madimbwi, mito midogomidogo, n.k, hutokea shida nyingine ya magonjwa. Mungu anatusaidia sana kwa mengi sana ya kutusalimisha.

No comments:

WATEMBELEAJI