Thursday, January 28, 2010

MANENO HAYA NI YA KISWAHILI KWELI?

Wakuu, maneno yafuatayo hutumika sana katika mazungumzo ya kiswahili.
Je matumizi ya maneno haya na maana zake humaanisha kuwa maneno haya ni ya kiswahili kweli?

1). MDOSI.

2). NGANGARI.

3). VIGOGO.

4). MKENGE.

5). CHANGUDOA.

6). DINGI.

7). NG'ATUKA.

8). KIPUTE.

9). DINGA.

10). KOBIS.

11). KIBOSILE.

No comments:

WATEMBELEAJI