Thursday, January 28, 2010

OLE WAKO LIZIME HAPA KWENYE MAJI; ITAKUWA IMEKULA KWAKO.

GARI LA RC WA MOROGORO, LIIKATIZA MTO KATIKA MAJI MENGI HUKO MOROGORO VIJIJINI, NI HATARI SANA KWA MAGARI AMBAYO HAYANA MKONGA KUKATISHA MAJI MENGI KAMA HAYA, MAANA LIKIZIA TU! UMEHARIBU INJINI MOJA KWA MOJA. HAPA USIPO KUWA MWANGALIFU DREVA ITAKULA KWAKO.

No comments:

WATEMBELEAJI