Wednesday, January 27, 2010

UZURI NA UBAYA WA THERUJI.

Picha ni nje kidogo ya mji wa Cesena - Italy.

Mimi napenda sana theruji (Barafu) wakati ishukapo kutoka angani kama mvua, lakini baadae inakuwa ni karaha tu, hasa kwa mambo ya usafiri na mambo mbalimbali. Mwaka huu imezidisha kupita kiasi.


No comments:

WATEMBELEAJI