INTER - MILAN; WATANI WA JADI WA ITALY; USHAMBIKI WA MPIRA UNAPO NOGA.
MIMI NILISIKITIKA BAADA YA TIMU YANGU NINAYOISHABIKIA SANA YA MILAN KUKUNG'UTWA 2 KIBUYU JUMAPILI ILIYOPITA, LAKINI BASI NDO MOJA YA MCHEZO. ILA HAWA JAMAA KWENYE HII VIDEO WA TV YA 7 GOLD HUWA WANANIFURAHISHA SANA KWA USHABIKI WALIO NAO MPAKA RAHA.
No comments:
Post a Comment