Saturday, January 16, 2010

YOTE NI MAISHA TU; MAANA HAMNA JINSI!

Kwa biashara kama hii kweli utayaweza maisha, kusomesha watoto, huduma ya afya n.k. Maisha haya mpaka lini? Ukizingatia kila mwaka ada za mashule zinapanda kweli kweli, sijui tutafika kweli kwa mwendo huu.

No comments:

WATEMBELEAJI