Thursday, April 8, 2010

ASKARI WETU HUKO LEBANON KATIKA KUTETEA AMANI.

Hapa askari wetu wa Tanzania wakishirikiana na askari wa Italy katika doria na kuhakikisha AMANI inaendelea kuwepo nchini Lebanon.
Nchi yetu ni moja ya nchi zinazosifiwa sana kwa AMANI Duniani, ndio maana UN ikaiteuwa Tanzania kati ya nchi 28 zinazolinda AMANI Lebanon.

Walinzi wa AMANI wa Kitanzania wakijumuika na askari wengine katika kusheherekea sikukuu ya Pasaka.
-ASANTENI SANA KWA KUTUWAKILISHA HUKO LEBANON NA KWA KAZI NZURI MUIFANYAYO YA KULETA AMANI. MAANA MNALIPATIA SIFA TAIFA LETU KWA KIMATAIFA. KILA LAKHERI NYINGI SANA HUKO LEBANON.


No comments:

WATEMBELEAJI