Thursday, April 15, 2010

MWANAFUNZI AANGUSHA GARI WAKATI AKIJIFUNZA KUENDESHA.

Mwanafunzi wa mafunzo ya kuendesha gari, Krisztina Jaksa (24), wakati akijifunza kuendesha gari ndipo alipo piga mzinga na gari hiyo ya shule, na hii ilikuwa mara yake ya pili ya mafunzo yake ya kuendesha na ndipo alipo angusha gari. Kwa bahati nzuri yeye na mwalimu wake hawakuumia.

Hii imetokea huko Headington karibu na Oxford. Shule ya udereva inaitwa BRITISH SCHOOL OF MOTORING.

-YAHOO ITALIA - AUTO!

1 comment:

Unknown said...

Pole sana, sasa akili itakaa sawa na utajua vizuri na siku zote utakuwa makini, lakini kama hujaishia kuogopa hata kurudia kupiga start tu.

WATEMBELEAJI