Tuesday, April 13, 2010

NG'OMBE WA MAZIWA NCHINI JAPAN.

Huyu ni ng'ombe wa maziwa nchini Japan, mwenye uwezo wa kutoa maziwa lita 40 mara mbili kwa siku kila akikamuliwa.
Hii ni changamoto kwa wafugaji wa Tanzania.

-Ray Njau
Dar es salaam - Tanzania.

No comments:

WATEMBELEAJI