Tuesday, April 13, 2010

KICHEKESHO CHA LEO!

MGONJWA; Dokta tangu unifanyie operesheni ya ulimi nimekuwa muongo sanaa, sijui kwanini!

DOKTA; akamjibu: Naelewa sababu, ''ni kwasababu nilikuwekea ulimi wa mwanasiasa Mkubwa Mkuu''.

No comments:

WATEMBELEAJI