Monday, April 12, 2010

UDOM: ILIVYO SASA, NDANI YA DODOMA - TANZANIA.
















UDOM ILIVYO SASA;
Awali jengo la Chimwaga a.k.a White house, ndilo lilikuwa kielelezo cha Chuo hiki. Lakini kwasasa kuna vitu vingine vimeibuka kama hivi tuvionavyo kwenye picha hizi na kuliweka kando jengo la Chimwaga ambako ndipo kilipoanzia Chuo hiki. Chuo kipo nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma.
Ni Chuo ambacho kina eneo kubwa sana la ardhi na sehemu kubwa ya eneo hili lipo katika mchakato wa kuendelezwa kwa namna moja au nyingine.
Dodoma Oyeeee....!!!!!








No comments:

WATEMBELEAJI