Tuesday, May 11, 2010

NIKIIKUMBUKA AJALI HII.. MPAKA NASEMA MADEREVA TARATIBU.

Ajali zimezidi sana Tanzania...nikiikumbuka ajali hii nasikitika sana, na baada ya ajali hii zimetokea nyingine nyingi na kuua wengi. Jamani madereva Tanzania taratibu jamani, maana uzembe uliopo barabarani ni mwingi sana, sheria hazizingatiwa hasa swala la kuovateki halizingatiwi kabisa, uzembe wenu mnawaua hata watu ambao hawana hatia.

No comments:

WATEMBELEAJI