Mh.Dewji, Mbunge wa Singida akiselebuka na wananchi wake huko Jimboni kwake Singida kwa kucheza nao ngoma ya kinyaturu, inapendeza sana. Mara nyingi Mheshimiwa Dewji ameonyesha upendo wake kwa watu wake, ni Mbunge wa watu si wa ofisi. Hasa kwa kujumuika na watu wote katika mambo mbalimbali ya kuwasaidia ya kiaendeleo, pia kuwa karibu nao kama hivi kwa kuselebuka. Hongera sana Mh.Dewji na pia uendelee na moyo huo huo wa mapendo kwa watu.
2 comments:
Ama kweli hakuna kulala hata kama hujala.
Asante kwa mheshimiwa MO;maendeleo ya mkoa wa Singida yanahitaji ukarimu na upendo wa moyo wako.Vijana wanataka African Lyon ihamishie makazi yake mkoani Singida.Wewe unasemaje?
Post a Comment