Monday, May 24, 2010

NJINSI MASHABIKI WA INTER MILAN WALIVYO FURAHIA USHINDI.

Mji wa Milano - Italia, jinsi mashabiki wa Timu ya Inter Milan walivyo furahia ushindi wao kwa furaha zote, baada ya kutoshinda takribani miaka 45 kombe hilo la Ulaya.

Pia nimepata maombi mengi kuhusu wadau wawapendavyo jamaa mashabiki wa TV ya 7 Gold ya hapa Italy, wadau wengi wanawapenda sana hawa jamaa kwa ushabiki wao mpaka kufikia hatua ya kulia machozi kwa ushabiki. Basi nami nasema nitazidi kuwaleteeni Video mbalimbali, hata kama msimu wa Ligi umekwisha lakini nitatafuta Video zilizopita za kufurahisha kuhusu soka, na kuwaleteeni bila shida yoyote wadau wangu.

1 comment:

Anonymous said...

Asante sana Chibiriti, yaani hawa jamaa mimi nawazimikia mno jinsi wanavyoshabikia timu yao.

WATEMBELEAJI