Monday, May 24, 2010

HONGERA SANA TWIGA STARS!

Twiga Stars...imefanya mauwaji kwa kuifunga Timu ya Eritrea mabao 8-1, katika mchezo uliomalizika jana jioni katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.

No comments:

WATEMBELEAJI