RAFIKI ZETU WA OVERLAND NDANI YA MWANZA - TANZANIA.
Ni furaha sana kwangu kwa rafiki zetu wa OVERLAND, leo wameingia Mwanza nchini kwangu, kwetu...wakiendelea na safari yao ya kuizungukia Afrika katika kutoa misaada na kuelimisha jamii, na kufahamu matazizo zaidi kiundani katika Afrika yetu.
No comments:
Post a Comment