Nimeyapenda sana mazingira ya hii shule, yako tulivu sana kwa masomo na inaonekana hali ya hewa ni nzuri mno. Vile vile maendeleo yake ni mazuri sana kwa kufaulisha;
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA.
CSEE 2009 EXAMINATION RESULTS;
DIV - 1 = 26.
DIV - II = 10.
DIV - III = 6.
DIV - IV = O.
FLD = O.
HONGERA SANA ST.MARY'S MAZINDE JUU.
No comments:
Post a Comment