Mgeni mmoja alitembelea nyumba ya rafiki yake na kumkuta mtoto wa rafiki yake huyo aitwaye Njenje...akiwa bize akijisomea na mazungumuzo yao yakawa kama ifuatavyo;
MGENI; Njeje nasikia una akili sana darasani ebu nikuulize maswali.
NJENJE; Haya sawa, uliza...
MGENI; Nina kiazi mviringo ukikikata katikati unapata nini?
NJENJE; Nusu.
MGENI; Vema sana, na je robo ukikikata katikati unapata nini?
NJENJE; Unapata CHIPSI.
-Kazi kweli kweli...!!!
No comments:
Post a Comment