Tuesday, May 11, 2010

THANKS TO YOU THEY HAVE A FUTURE

Ukimpa future mtu yoyote yule...inapendeza sana, je wewe umempa mtu future yoyote ile?? Hata ya ushauri mzuri?? Bila future hatuwezi kuendelea...!!!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

NANUKUU "Ukimpa future mtu yoyote yule...inapendeza sana, je wewe umempa mtu future yoyote ile?? Hata ya ushauri mzuri?? Bila future hatuwezi kuendelea...!!!mwisho wa kunuuu.

Nimeyapenda maneno haya. Ahsante kaka Baraka.

Baraka Chibiriti said...

Tupo pamoja, Dada Yasinta...nafurahi sana.

WATEMBELEAJI