Kweli kabisa usimdharau mtu na kumcheka ukiwa juu, siku ukishuka yeye ndo atakucheka balaa...!!! Mpaka aibu zikufike. Sisi sote tuna maana katika hii Dunia, maana Mungu yeye ndiye aliye tuumba na kila mtu ana thamani yake; uwe tajili au maskini wote tuna thamani mbele zake Mungu. Usimdharau mtu yoyote ipo siku huyo huyo mtu unae mdharau atakusaidia na utamwonea aibu.
No comments:
Post a Comment