Wednesday, May 12, 2010

UWAJIBIKAJI WA PAMOJA KATKA USAFI WA JIJI LA TOKYO-JAPAN.

Hapa ni mjini Tokyo - Japan, watu wakijitolea kufanya usafi wa mji wao chini ya usimamizi wasasi za Jamii. Huu ni mpango wa uwajibikaji wa pamoja kati ya mamlaka ya mji wa Tokyo na wakazi wake. Mpango huu unafaa sana hata hapa Jijini Dar es salaam, wadau mnasemaje?

-R.Njau
Dar - Tz.

No comments:

WATEMBELEAJI