Wednesday, June 2, 2010

FURAHA YA CESENA KUPANDA DARAJA IKIENDELEA.


Nyumbani kwa Cappo.








Marafiki zangu (mashabiki wenzangu wa Cesena), walinizawadia jezi ya Cesena ikiwa imeandikwa jina langu, pia na tiketi ya Piacenza - Cesena...nilifurahi sana tena sana sikuamini, kabla ya mechi ya Piacenza jumapili iliyopita wakati wa ushindi wa kishindo kupanda daraja kwa Cesena.




Tiketi yangu niliyo zawadiwa, ya Piacenza - Cesena.
-Samahani sana kwa wale ambao sio wapenzi wa mpira kama nawasumbua kwa picha na habari hizi, ila mimi ni mpenzi sana na ninaipenda sana hii timu ya mji huu ninao ishi...maana umenifundisha mambo mengi sana na pia kuishi na watu vizuri bila shida, najisikia kama nipo nyumbani. Hivyo nimeamua kuishangilia, maana huko Bongo timu yangu ya damu ni Yanga na Taifa stars...kwasasa nipo mbali sipati nafasi vizuri ya kuzishangilia kwa kishindo vizuri. Lakini zipo moyoni mwangu daimaaaaaa.....!!!!!!





No comments:

WATEMBELEAJI