Friday, June 4, 2010

HATA SISI TUNAWEZA KULEMBA MIJI YETU KAMA HIVI.

Hata sisi tunaweza kuiga kwa wenzetu kwa urembo kama huu unao pendezesha Mji na kuweka miji yetu safi. Hapa ni nchini Ujerumani.

1 comment:

mangi said...

Kaka ni kulemba au kuremba?
Miji yetu kwa ujumla haina wabunifu mahiri na makini katika urembaji wa miji yetu.Kila mmoja yupo kwa ajili yake binafsi na sisi acha tusonge mbele na matatizo yetu tuliyoyazoea.

WATEMBELEAJI