Thursday, June 3, 2010

MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA YANANUKIA NUKIA HIVYO!


Mzee Mandela akiwa kashikilia Kombe la Dunia tarajiwa, sasa sijui nani atalinyakuwa? Yetu macho na masikio tuu...!!!

Viwanja vitarajiwa vya kuchezea mpira huo wa Kombe la Dunia, vipo tayari huko Afrika ya Kusini. Kazi kwetu wapenzi wa kabumbu!


No comments:

WATEMBELEAJI