Friday, June 11, 2010

KITUKUU CHA MANDELA AFARIKI KATIKA AJALI YA GARI.

ZENANI MANDELA ENZI ZA UHAI WAKE.

Zenani Mandela, 13. Kitukuu cha aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Mh.Nelson Mandela, amefariki katika ajali ya gari baada ya onyesho la muziki lililofanyika katika mkesha wa kuanza kwa mashindano ya Soka ya Kombe la Dunia nchini Afrika Kusini.
Mtoto huyo alifariki wakati akirejea nyumbani baada ya onyesho hilo lililofanyika kwenye kitongoji cha Soweto.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MTOTO HUYU MAHALI PEMA PEPONI, AMINA!!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Astarehe kwa amani. Amina

WATEMBELEAJI