Friday, June 11, 2010

NIMEWASILI SALAMA CESENA USIKU HUU!

Kiusafiri hiki cha ALITALIA; shirika la ndege nchini Italy, kimenipeleka na kunirudisha salama salimini.
Angani na mabawa yake.




Chini tukiwasili, hizi huwa wanasema ndo breki zenyewe mabawa kufunguka hivi, maana huwa naangalia tukitua tu lazima yafunguke hivi...labda tuwaulize wenye kujua, wataaluma!
Nimewasili usiku huu Cesena, ..salama kabisa. Ila nawakumbuka sana wajomba, nilifurahi sana pamoja nao. Tupo pamoja daima!


No comments:

WATEMBELEAJI