Saturday, June 12, 2010

LA SCUOLA E' FINITA = SHULE IMEISHA (IMEFUNGWA).


Sasa shule zimefunga Italia nzima, na jamaa zangu wamemaliza darasa la tano, na wanajiandaa kwenda Sekondari sasa. Ila kazi bado ninayo ya kuwafundisha wimbo wa kiswahili, sasa tupo katika hatua nzuri, bado kidogo ili wafanye sherehe yao ya kumaliza shule ya msingi, ambapo ndipo wataimba wimbo huo wa kiswahili.

No comments:

WATEMBELEAJI