Mjomba Denzil akinipa somo; Hapa unaweza ukafanya hivi na hivi au sio anko?...hata mkubwa hufundishwa tu wakati mwingine!
Tukifurahia jambo na wajomba, kwenye libeneke letu.
Pamoja na wajomba; Malaika na Denzil.
Story kama kawaida.... zikiendelea na wajomba.
Pamoja na wajomba tukiendelea kushangaa habari mbalimbali za kwenye mtandao.
Salamu sana kwenu nyote kutoka kwa wajomba hawa wa UK; Malaika na Denzil. Kwakweli wamenikaribisha vizuri sana, na nimejisikia kama nipo nyumbani. Walipenda sana kutoa salamu zao kwa wadau wote hapa bila kusahau hata mmoja.
3 comments:
Saalamu kwenye pia. Mmependeza wenyewe. Safi sana kuonana na wajomba hivi. UPENDO DAIMA
Shikamoo mjomba;naomba pipi;choda na bichuti?
Ha ha haaaa...mjomba Njau utapata tu pipi hamna shida.
Upendo Daima Dada yangu Yasinta.
Post a Comment