Friday, June 11, 2010

WANAFUNZI WAKIFANYA MTIHANI WAO CHINI YA MTI!

Pichani ni wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Rebu, Wilayani Tarime, Mkoani Mara, wakifanya mtihani wao wa kumaliza muhula chini ya mti kutokana na shule kukabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa.

(Photo; Shadrack Sagati).

No comments:

WATEMBELEAJI