Monday, June 14, 2010

OLIVER N'GOMA!

Ambao wanaweza kumkumbuka Oliver N'goma, enzi hizo aliwika sana mimi namkumbuka sana, maana miziki yake enzi hizo ilikuwa ikipigwa kila upande. Mwanamziki kutoka Nchini Gabon. Hatunae tena.

Rest in Peace Oliver N'goma!

No comments:

WATEMBELEAJI