Monday, June 14, 2010

RAFIKI ZETU WA OVERLAND NDANI YA BURUNDI.






















2 comments:

ray njau said...

Wasalimie sana hao jamaa zetu na waambie kuwa nilikuwa na hamu ya kuwaona lakini hamu yangu ikaingia nyongo,labda wakati mwingine tena.Naomba email yao ili niweze kuwasalimia na kuwashukuru zaidi kwa ukarimu wao.Hapa kwetu tuna uhitaji wa misaada ya kijamii na tunahitaji usaidizi wao wa hali na mali katika miradi elimu,afya na miundombinu ya barabara.

Baraka Chibiriti said...

Usijali mkuu Njau, ipo siku watafika, maana walikuwa na ratiba zao huwezi kuwaingilia wala kuharibu utaratibu walio upanga. Cha mhimu wanaendeleza kusaidia kwa misaada mbalimbali Afrika. Ipo siku watakufikia tu!

WATEMBELEAJI