Sunday, June 13, 2010

SIKILIZA DW-WORLD.DE/KISWAHILI. REDIO YA UJERUMANI.

Mtangazaji wa Dw-world ya kiswahili Ujerumani; Aboubakary Liongo, ambae pia ni jamaa ninae fahamiana nae, pia mdau wa hapa kijiweni KAZI YAKO NI JINA LAKO; anatualika tusikilize Redio atangazayo, ili kupata habari mbalimbali kwa kiswahili, hasa wapenzi wa michezo katika Kombe hili la Dunia utapata habari mbalimbali kali za kukuvutia.
Mimi pia naongelea mambo mbalimbali redioni hapo, mambo ya Timu ya Taifa ya Italy.
Leo nimeongea kwa simu, ukipenda kusikiliza nenda;

www.dw-world.de/kiswahili
Ukishafungua utaona upande wako wa kulia; AUDIO ON DEMAND, ile ya saa 15:00 - 16:00 UTC, bonyeza juu yake.
Ukifungua hapo, peleka mpaka dakika ya 15, uanzie hapo utanisikia.

No comments:

WATEMBELEAJI