Friday, June 4, 2010

UJUMBE WA LEO!

Sasa kazi kwetu Wadau kutafsiri vizuri ujumbe huu.....

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Haya! wanasema sura sio roho, wengi wanasema pia unaweza ukawa na sura nzuri lakini roha mbaya na unaweza ukawa na roho nzuri na sura mbaya...mmmhh kaazi kwelikweli ...

Baraka Chibiriti said...

Ni kweli kabisa dada Yasinta...maana wengine wana nyuso nzuri za furaha za malaika, lakini matendo yao hayaendani kabisa na nyuso zao, vile vile upande mwingine hivyo hivyo. kazi kweli kweli.

mangi said...

Imani bila matendo imekufa.

WATEMBELEAJI