Mchezaji wa timu ya Taifa ya Italia, De Rossi.....katika tangazo maalum kwenye kombe la dunia huko Afrika ya kusini, ndiye pekee uzalendo ulimshinda katika kukaa kimya ( kuwa na uso wa siliasi). Alishindwa kabisa, kwa kutaniwa na wenzake kicheko kilimwijia tu!. Kazi kweli kweli kukaa kimya kama hujazoea.
No comments:
Post a Comment