RAIS KIBAKI NA .....WAZIRI MKUU ODINGA!
Rais Mwai Kibaki wa Kenya (kulia) na Waziri Mkuu Raila Ondinga, wamaliza tofauti zao....wakipeana mikono kama ishara ya Amani kwao. Safi sana hii, tafadhali toeni utofauti wenu mwongoze nchi yenu vizuri kwa ushirikiano mzuri, sio kugombana kila kukicha. Tunahitaji sana maendeleo mazuri ya Kenya, pia kwa Afrika nzima.
No comments:
Post a Comment