HALI HALISI NDIO HII.......TANZANIA!
Wananchi wakiwa wananing'inia juu ya mizigo iliyopakiwa kwenye Gari aina ya Toyota ''Pick-up'' lililokuwa likielekea Mjohe. Hali hii inahatarisha sana usalama wa maisha ya watu katika kusafiri kwa namna hii.-Picha na Fadhili Akida.
No comments:
Post a Comment