JK...AKUTANA NA JK....WA CONGO KINSHASA!
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Rais Joseph Kabila, wa Jamhuri wa Demokrasia ya Congo (DRC) Jijini Kinshasa, jana jioni. Rais Kikwete alisimama kwa muda mjini Kinshasa akitokea Abidjan - Ivory Coast na kufanya mazungumzo kidogo na Rais Kabila.-Picha; Freddy Maro.
No comments:
Post a Comment