Friday, February 25, 2011

NI UBUNIFU MKUBWA KWELI....HONGERENI WATOTO!

Lazima kubuni michezo kama hii, ni akili nzuri sana....kuliko kuzurura ovyo. Safa sana!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

hakika inapendeza sana kuona watoto wanajishughullisha. Safi sana

WATEMBELEAJI