KAZI YAKO NI JINA LAKO...AU UNABISHA??

KAZI YAKO NDIO JINA LAKO, au unabisha???....kwamfano mimi mchimba visima, ni mchimba visima tu! ndio jina langu. Wewe ni karani husema; yule Karani. Wewe Daktari, wewe nesi, wewe Waziri, wewe Rais, wewe mkulima nk. Tunaitwa na majina ya kazi zetu! KAZI YAKO NI JINA LAKO.
3 comments:
Upo sahihi kabisa kaka. Kauli nzuri sana. "kazi yako ni jina lako" nimependa hii.
Ndio ni kweli,ila kunajina lingine linalipatikana ktk utendaji wa hiyo kazi mfano; FIDASI-huyu anaweza kuwa na kazi yoyote lakini utendaji wake ukamuongezea jina la cheo cha kazi yake.
Masahihisho, hapo juu ni neno FISADI sio FISASI
Post a Comment