MASAI MORNING GATHERING OF YOUTH.......
Kabila pekee Tanzania linalo jivunia mila na tamaduni zao, wengi wetu huwa mara nyingi tunajificha na hatutaki wakati mwingine kujionesha kuwa ni wa makabila gani. Sasa huwa najiuliza sana sijui ni kwanini?- WAMASAI NI FAHARI YA NCHI YETU YA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment