Tuesday, February 22, 2011

HAWA NDIO VIONGOZI WETU WA BAADAE!!!!!

Mwalimu wa kujitolea wa shule ya msingi ya kijiji cha Kipamba, Tarafa ya Mwangeza, Wilayani Iramba, Mkoani Singida, akifundisha wanafunzi wa darasa la pili.

-Bado tuna safari ndefu sana ya kujikomboa kwa hali kama hizi....Ee Mwenyezi Mungu tunaomba uzidi kutuongoza na usituchoke, ili hapo baadae tupate viongozi wazuri kama Baba wa Taifa letu, Mwalimu Nyerere, ambao wanajali watu na kutetea haki zao, ili waweze kupata mahitaji yao muhimu katika haya maisha tunayoishi. Mungu endelea kutusaidia tu....ipo siku tutafika tu!

No comments:

WATEMBELEAJI