Katika pitapita zangu kwenye mtandao, nikakutana na habari hii na nikacheka sana na kuipenda, inaongelea kuhusu katiba, sasa ni hivi;
MAONI KUHUSU KATIBA MPYA!
Je ni kitu gani ungependa kiwe kwenye katiba mpya?
Watu wafuatao wakajibu;
1). DEREVA; Ningependa Trafiki wasiwepo barabarani.
2). MWANAFUNZI; Ningependa mitihani isiwepo, baraza la mitihani lifutwe kabisa!
3). MFANYABIASHARA; Ningependa TRA itaifishwe kabisa! isiwepo kabisa!
- Je wewe ungependa nini???
No comments:
Post a Comment