Mimi na wageni wangu kutoka Italy, siku tulipo tembelea shuleni hapa; CPPS MISSIO WATER PROJECT. Iliyopo katika Kitongoji cha Miyuji - Dodoma, shule hii ni nzuri sana kwa majengo na kielimu, inaendeshwa pamoja na mradi wa uchimbaji visima vijijini. Kwasasa ni shule ya Awali na Msingi, badi ujenzi utaendelea hadi kufikia kupata Sekondari pia.
-Karibuni sana Miyuji - Dodoma - Tanzania.
No comments:
Post a Comment