Saturday, March 5, 2011

J1 YENYE FURAHA KWA WOTE...TUKUMBUKE PIA WATOTO!

MZUNGUZZZ - WITH - MTOTOZZ - TZ. WAKIFURAHIZZZ.....kiinglishi nimekigonga hapa si mchezo.

Jumamosi yenye furaha sana kwenu ninyi nyote, tufurahi pia tukumbuke watoto wetu kwa furaha zao, wakifurahi pia wao ni heri sana kwa kukua kwao. Sio unapiga tungi tu...mpaka unasahau familia yako, kama wamekula au vipi. Pia kufurahi na watoto yatima mara moja moja weekend sio mbaya sana, au sio?

No comments:

WATEMBELEAJI