KAZI YAKO NI JINA LAKO
Thursday, March 3, 2011
MWITONGO - BUTIAMA....KWA BABA WA TAIFA MWL.NYERERE.2010!
Kijumba alipo lala kwa pumziko la amani Mwalimu Baba wa Taifa letu Nyerere.
Tukiwa mbele ya kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Maktaba ya vitambu vya Baba wa Taifa.
Nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mwaka jana mimi na marafiki zangu tulitembelea huko Kijijini Mwitongo - Butiama, nyumbani aliko zaliwa Baba wa Taifa letu, Mwalimu Nyerere.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATEMBELEAJI
Web Counters
No comments:
Post a Comment